
Hela - Ni wimbo maalum kwa ajili ya kumuenzi marehemu Emmanuel Elias, ambaye niliwahi kufanya nae kazi kama ‘dancer’ wangu. Alikuwa anaupenda huu wimbo sana na alikuwa anaucheza wakati wa dance rehearsals zetu . Huu wimbo ni dedication kwake.
Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahala pema peponi.
0 comments:
Post a Comment