
Mkongwe kwenye muziki nchini Tanzania Mr Blue amefukuza ubwakoko wote katika show yake baada ya kuimba wimbo wake wa Mbwakoko ambao uliamsha vibe kwa wakazi wa Morogoro na vitongoji vyake waliofika katika show ya Tigo Fiesta 2018.
Send to us your Video Link, Music Audio Link & Picture Cover to Email mpyadaily@gmail.com
0 comments:
Post a Comment