
Msanii anayefanya poa kwa sasa kwenye game ya Bongo Fleva,Whozu hakuamini kilichotokea wakati akitoa vibe kwa mashabiki wake mjini Morogoro ambapo ndio mara yake ya kwanza kuperfome katika jukwaa kubwa la msimu wa Tigo Fiesta 2018.
Send to us your Video Link, Music Audio Link & Picture Cover to Email mpyadaily@gmail.com
0 comments:
Post a Comment