NCHI YANGU - TANZANIA ALL STARS (Official Audio)


Wimbo huu ni Maalum kwa ajili ya Taifa letu la Tanzania kusisitiza juu ya Urithi wetu wa Amani na Upendo. Umechanganyika wasanii wakubwa na wadogo katika kuleta ladha. Wakati tunaelekea kwenye uzinduzi wa maadhimisho ya Urithi tarehe 1 Sept 2018 Makao makuu ya nchi huu ndiyo utakuwa Mwanga na Muongozo wetu wa sherehe za Urithi. 
Wimbo Unaitwa “Nchi yangu” •Verse 1 1.Rogers(the burst) 2.Jaymelody 3.Golden (the burst) 4. Jux Chorus Ditto, Bright, Marioo, Amini, LuluDiva, Karen,Magic, Mariana, Asia, Frankizo, RinMarie, Larah,Shine na Payovella. •Verse 2 Joel Lwaga Benson Chaz Baba (Kingunge) Bushoke IbraNation Nandy Rap:Weusi •Bridge Whozu, WanneStar ,Ditto, Amosoul, Johnie, Masai One,Kinoge. -•Saxophone Laveda •Ad-libs Joel lwaga Ndela Marisa Golden 

Produced by Ema the Boy. Song Composer-Ditto Coordinators- Dinah Ruhumbika, Angela Karashani • Music Director: Ema the Boy,Ditto#NchiYangu#TanzaniaAllStars

0 comments:

Post a Comment